Mwenyezi Mungu Mtukufu aliujalia uhai kwa siri pekee: Ameuumba kutokana na upendo. Kwa sababu hiyo, kuna upungufu popote ambapo upendo haupo na kuna alama za ukamilifu popote upendo ulipo. Ndio maana njia pekee kwa binadamu kufikia radhi za Mwenyezi Mungu Mtukufu na uombezi wa Mtume (s.a.w) – na hivyo kupata wokovu katika dunia hii na Akhera – ni ukweli rahisi ulio ndani ya siri ya upendo. mwandishi Othman Nuuri Topbash ameuelezea ukweli huu katika kitabu hiki, wale wenye kuujua ukweli huu wakatii maagizo yake hupata hisia kali katika nyoyo zao, Allah atujaalie miongoni mwa walioujua ukweli huo. Na kuifuata njia iliyonyooka.

Book Information

ISBN978-9944-83-692-0
PublisherErkam
Date2011
LanguageSwahili
READ- DOWNLOAD (PDF)